[Lyrics] Harmonize – Vibaya Lyrics

Zegemule
0

 [Lyrics] Harmonize – Vibaya Lyrics
Lyrics
B boy, mm
Oh-wah, ah, oh-wah
Oh-wah, ah, oh-wah
Oh-woah-woah-oh
Alisema mapenzi vita
Mi na yeye tuungane kuwateketeza maadui, eh, maadui
Badala ya miezi kupita, aah
Vikombe lazima vigongane
Na sio kwamba hayajui, eh, hayajui
Pigo za kusema vya ndani mi sinaga hizo
Ama kumtafuta mchawi ni nani ni kuongeza tatizo
Tulia hapa tutakuwa wa ndani hadi paradiso
Na tukatangaza kweupe mambo hadharani
Na tattoo ndo hizo, oh-oh-oh-oh-oh
Sitaki kuamini kwamba
Lile kapu la mabaya yangu
Halina hata machache mema, oh, mema
Nitakuwa mshamba
Nikiyasema yote mabaya ya mwenzangu
Ili nionekane mwema
Japo mapenzi yanaumiza
I wish tusisemane (vibaya) oh-le-le-le (vibaya)
Ili kesho tusizikane (vibaya) oh-no-no (vibaya)
Usiwasikilize wapambe (vibaya)
Wanachotaka maneno (vibaya) ili kesho watuchambe (vibaya) oh-oh-oh-oh (vibaya)
Oh-wah, ah, oh-wah
Oh-wah, ah, oh-wah
Oh-woah-woah-oh, mm-mm
Nitunzie siri zangu
Nami nitunze zako za miaka rudi nenda
Kuna leo na kesho, mm-mm-mm
Hata maadui zangu walikuwaga maadui zako
Hawawezi kukupenda
Wanakuvuta uwe kichekesho, mm-mm
Maana hata ukisambaza
Picha zangu za aibu ni sawa
Hata hunikomoi
Na hata utupu wako ukiutandaza
Kwa watu wangu wa karibu sio dawa, hujengi hubomoi, eh-eh-eh-eh-eh
Mama kuna kamchezo
Mtunze mtoto wako
Na watu wenye majungu, majungu
Nilikubali kuviacha vya dezo
Sababu ya mapenzi yako
Nikaachana na mzungu, mzungu
Maneno yao utadhani wanakutetea
Kumbe tudhalilishane wanachongojea
Usiwape faida wambea
Na ni kama kawaida nakuombea
Sitaki kuamini kwamba
Lile kapu la mabaya yangu
Halina hata machache mema, oh, mema
Nitakuwa mshamba
Nikiyasema yote mabaya ya mwenzangu
Ili nionekane mwema
Japo mapenzi yanaumiza
I wish tusisemane (vibaya) oh-le-le-le (vibaya)
Ili kesho tusizikane (vibaya) oh-no-no (vibaya)
Usiwasikilize wapambe (vibaya)
Wanachotaka maneno (vibaya) ili kesho watuchambe (vibaya) oh-oh-oh-oh (vibaya)
Oh-wah, ah, oh-wah
Oh-wah, ah, oh-wah
Oh-woah-woah-oh
Oh-oh-oh-oh
Konde Music Worldwide
B Boy, thank you for the sound
Sound, sound, sound


Share [Lyrics] Harmonize – Vibaya Lyrics with others on social media;

Post a Comment

0Comments
Post a Comment (0)
To Top