[Lyrics] Diamond Platnumz – Simba Lyrics

Zegemule
0

 [Lyrics] Diamond Platnumz – Simba Lyrics

Oooh Waiteeeeeeeeeeeeee Eh! Kumekucha Jama
Kishafanya Yake Munyama oooh! Kumekucha Jama
Kishafanya Yaa!

Agaah! Waambie Simba simba Kiboko Yao
Waambie Wekundu Wa Msimbazi simba Kiboko Yao
Oooh! Taifa Kubwa simba Kiboko Yao
Oooh! This Is SImba simba Kiboko Yao

Ona Manara Anacheza
Anashangilia Ushindi Umekuja! Mo Anarukaruka
Anashangilia Ushindi Umekuja!
Yule Dada Anakata
Anashangilia Ushindi Umekuja!
Agaah! Wahuni Wanarukaruka
Wanashangilia Ushindi Umekuja!
Na Tutamfunga Yoyote Atakae Kaa Mbele
Si Wanawashwa Tutawakuna Upele
Chenga Na Pasi Ndo Zetu Kama Mbele
Oh Magoli Mashuti Kama Pele
Wataweza Wapi Jamaa (Wakwende Zao)
Kushindana Na Munyama (Wakwende Zao)
Oooh! Wataweza Wapi Jamaa
Kushindana Na Musimbazi

Agaah! Nasema Simba simba Kiboko Yao
Waambie Wekundu Wa Msimbazi simba Kiboko Yao
Haina Mpinzani simba Kiboko Yao
Oooh! Mabingwa Wa Nchi simba Kiboko Yao

Ah Wanachama Wanacheza
Wanashangilia Ushindi Umekuja!
Mashabiki Wanarukaruka
Wanashangilia Ushindi Umekuja!
Ooh! Nguvu Moja
Anashangilia Ushindi Umekuja!
Hadi Wale Wanarukaruka
Wanashangilia Ushindi Umekuja!
Oyaa Mnyama Anakula aaaaaahm!
Mnyama Anang’ata aaaaaahm!
Mnyama Anakula aaaaaahm!
Mnyama Anang’ata aaaaaahm!
Anawatafuna aaaaaahm!
Anawemeza aaaaaahm!
Anawatafuna aaaaaahm!
Anawemеza aaaaaahm!

Eeeeh Kidedea eeeeh Kidedеa
Eeeeh Kidedea eeeeh Kidedea
Naipenda Simba Mshabiki Wa Damu
Naipenda Simba Mshabiki Wa Damu
Me Mwenzenu Mshabiki Wa Damu
Naipenda Simba Mshabiki Wa Damu

Nani Baba Wanangu Nani Baba (Simba)
Nani Baba Wanangu Nani Baba (Simba)
Nani Bingwa Wa Nchi Nani Bingwa (Simba)
Nani Bingwa Wa Nchi Nani Bingwa (Simba)
Kama Unaipenda Simba Puliza Vuvuzela
We Kama Unaipenda Simba Peperusha Bendera
Ah Kama Unaipenda Simba Puliza Vuvuzela Basi
We Kama Unaipenda Simba Peperusha
Asa Twende Peperusha Bendera wanangu Bendera
Niione Bendera nionyeshe Bendera
Nyekundu Bendera nyeupe Bendera
Ya Simba Bendera Umoumo!

Oooh Waiteeeeeeeeeeeeee Eh! Enheee! Waambie
Hii Ndo Timu Yenye Mashabiki
Wengi East Africa
Na Yenye Makombe Mengi East
Africa And Central
Iliyofanya Vizuri Zaidi Kwenye
Mashindano Makubwa Afrika kuliko CLub Yoyote
Na Tutamfunga Yoyote en heee!
Watoto Wa Msimbazi bado Sijasikia Miluzi
Sijasikia Milio wanangu Miluzi (Mama)
Nisikie Milio (Weka)
Wa Kule Miluzi (Twende Baba)
Wa Huku Milio (Umoumo) nisikie Miluzi (Wewe)
Wanangu Milio eeeeh Kidedea
Eeeeh Kidedea

Translate to English

Post a Comment

0Comments
Post a Comment (0)
To Top