[Lyrics] Zuchu – Hakuna Kulala Lyrics

0

Lyrics
Lala Lala Lala Lala Lala Lala
Lala Lala Lala Lala mmhhh! Mmhhh!
Namvuta Faraghani tumo Tumo Ndani
Namtazama Simuishi namkanda Mambavuni
Kayainua Majeshi vita Nichague Mimi
Aanze Bangladesh amalizie Sudan
Twanozana Hatosheki kaniweka Kifuani
Hatingishiki Haruki yuu Hoi Wa Taabani
Nampa Na Vya Kurithi na Mizungu Ya Kigeni
Hakuna Kulala (Eeeh Eh)
Hakuna Kulala  (Lala Lala Lala)
Hakuna Kulala Asubuhi Itukute
Hakuna Kulala  (Mi Na Weewe) hakuna Kulala
Hakuna Kulala Na Machweo Yatukute
Mmmhh! Siwezi Kuficha Hisia
Maradhi Yataniumbua mizimu Inayonijua
Kanila Kanimalizia mbora Katimiliki
Kwa pasi Za Resiresi hapitagi Njia Fupi
Shortcut Ye za Nini? Nampa Na Vya Kurithi
Na Mizungu Ya Kigeni
Hakuna Kulala Hakuna Kulala
Hakuna Kulala Asubuhi Itukute
Hakuna Kulala Hakuna Kulala
Hakuna Kulala Na Machweo Yatukute
Laaaadha Yaaaako laaadha Yako
Ladha Yako ni Taam
Nitam Nitam nitam Sana


Share [Lyrics] Zuchu – Hakuna Kulala Lyrics with others on social media;

Post a Comment

0Comments
Post a Comment (0)
To Top