[Lyrics] Lava Lava – Bado Sana Ft. Diamond Platnumz Lyrics

0

Lyrics
Bado, bado sana
Bado, bado sana
Bado, bado sana
Bado, bado sana
Ngoja kwanza nidange dange
Mambo ya kuwa na mpenzi (Bado sana)
Nimezoea kwa Mpalange
Eti unipeleka Mbezi (Bado sana)
Kutega unatega
Ila kupata masponsor (Bado sana)
Tatizo nje shega
Ila ndani kujiosha (Bado sana)
We ngwesa wa kukaya
Hebu kuwa na haya (Bado sana)
Tulikutoa Sigimbi
Leo unajiona wa Ulaya (Bado sana)
Ka mnasepa sepeni
Mi kurudi nyumbani (Bado sana)
Ka mnakesha kesheni
Tingiza ka imeisha (Bado sana)
Bado, bado sana
Bado, bado sana
Nauliza mmechoka? (Bado)
Mmechoka? (Bado sana)
Wanangu mmechoka? (Bado)
Mmechoka? (Bado sana)
Aii! Hako kamacho matatu
Usijione bosi (Bado sana)
Ukajishebedua
Kutuletea mapozi (Bado sana)
Kwa vipya vitatu
Ndo eti uning’oe (Bado sana)
Niache kula bata
Eti simba uoe (Bado sana)
Wanasubiria (Bado)
Ndangote kufulia (Bado sana)
Vinyimbo wataimba
Ila wee kunifikia (Bado sana)
Ati kisa kigari ndo hawatusalimii
Achaaaa!
Ndio maana dem wake wanamnanii
Aiyayayaya!
Mjomba Chumali kachinja mang’ombe
Yaani zidi kwa kiti (Acha bwana)
Cha ajabu kazidi ubonge
Ila kwenye mziki (Bado sana)
Ka mnasepa sepeni
Mi kurudi nyumbani (Bado sana)
Ka kukesha tukesheni
Au mizuka imekwisha (Bado sana)
Bado, bado sana
Bado, bado sana
Nauliza mmechoka? (Bado)
Mmechoka? (Bado sana)
Wanangu mmechoka? (Bado)
Mmechoka
Haya tumpeleke msobe msobe
Wanangu msobe msobe
Tumpeleke msobe msobe
Aah msobe msobe
Eeh kushoto, msobe msobe
Kulia, msobe msobe
Twende kwa mbele, msobe msobe
Aiii kwa nyuma
Wanangu nawarudisha utotoni (Wapi?)
Kule utotoni (Wapi?)
Niwapeleke utotoni (Wapi?)
Kule utotoni (Wapi?)
Sa twende (Yesa yesa yesa yesa yeee)
Yesa tena (Yesa yesa yesa yesa yeee)
Bado kidogo (Yesa yesa yesa yesa yeee)
Aah ya mwisho (Yesa yesa yesa yesa yeee)


Share [Lyrics] Lava Lava – Bado Sana Ft. Diamond Platnumz Lyrics with others on social media;

Post a Comment

0Comments
Post a Comment (0)
To Top